Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Nenda kwa Usalama, Mkoa wa Iringa, Salim Abri Asas, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Samora mkoani Iringa leo kufunga maadhimisho hayo Kitaifa.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Iringa, Ritha Motto Kabati (kulia), mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Samora mkoani Iringa kufunga maadhimisho hayo kitaifa.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akisalimiana na Meneja Mauzo wa Airtel, Kanda ya Nyanda za juu Kusini, Beda Kinunda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Samora mkoani Iringa, kufunga maadhimisho hayo Kitaifa. Airtel ndio wadhamini wa maadhimisho hayo Kitaifa.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akisalimiana na RPC wa Mkoa wa Mbeya, Diwani Athuman, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Samora mkoani Iringa kufunga maadhimisho hayo kitaifa.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akipokea zawadi ya Airtel kutoka kwa Meneja Mauzo wa Airtel, Kanda ya Nyanda za juu Kusini, Beda
Kinunda mara baada ya kutembelea banda la Airtel ambao ndio wadhamini wakuu wa wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa. Kulia ni Naibu Waziri Mambo ya Ndani, Pereira Silima.
Kinunda mara baada ya kutembelea banda la Airtel ambao ndio wadhamini wakuu wa wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa. Kulia ni Naibu Waziri Mambo ya Ndani, Pereira Silima.
.
Wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa, Ritha Motto Kabati (kulia) na Ckiku Alfan Abwao (kushoto) wakiwa katika viwanja vya Samora mjini Iringa hii leo katika ufungaji wa Maadhimisho ya wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa.
Mwanafunzi wa darasa la sita wa Shule ya Msingi Malangali mkoani Iringa, Steven Mligo (kushoto), akitoa maelezo juu ya namna ya matumizi sahihi ya kufuata sheria za barabara kwa watembea kwa miguu na watumiaji wengine wa barabara kwa Mgeni rasmi katika ufungaji wa Wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma alipokuwa akitembelea banda la Posili usalama barabarani leo katika uwanja wa Samora mjini Iringa.
Ofisa wa Wizara ya Ujenzi, (kuli), akitoa maelezo ya Wizara hiyo kwa Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma alipotembelea banda hilo. Kushoto kabisa ni Naibu Waziri wa Ujenzi Gerson Lwenge.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Barabara TANROAD, wakiwa katika banda lao.
Mkurugenzi wa Mipango wa TANROADS, Mhandisi, Jason Rwiza (kushoto), akitoa maelezo ya taasisi hiyo kwa Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, alipotembelea banda hilo. Kulia ni kabisa ni Naibu Waziri wa Ujenzi Gerson Lwenge.
Afisa Mauzo Msaidizi wa ASAS, Stanley Nyamle (kushoto), akitoa maelezo juu ya namna ya matumizi sahihi ya kufuata sheria za barabara kwa watembea kwa miguu na watumiaji wengine wa barabara kwa Mgeni rasmi katika ufungaji wa Wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma alipokuwa anatembelea banda la Posili usalama barabarani
jana katika uwanja wa Samora mjini Iringa.
jana katika uwanja wa Samora mjini Iringa.
Wanafunzi wakitumbuiza kwa nyimbo katika kilele hicho cha Wiki ya Nenmda kwa Usalama Kitaifa mjini Iringa hii leo.
![]() |
| Wageni mbalimbali wakiwa kwenya maadhimisho hayo leo, mjini Iringa. |
Wabunge wa Viti Maalum mkoa Iringa, Ritha Motto Kabati (kulia) na Ckiku Alfan Abwao (kushoto) wakifurahia jambo katika viwanja vya Samora mjini Iringa hii leo katika ufungaji wa Maadhimisho ya wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa. Wasanii wa kundi la Mizengwe wakitoa burudani katika sherehe za ufungaji wa maadhimisho hayo ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa, mkoani wa Iringa leo. Kulia ni Mkaguzi wa Polisi, Abel Swai.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akimkabidhi cheti Mkurugenzi wa Makampuni ya ASAS, Salim Abgri kwa mchango wake wa kufanikisha Maadhimisho hayo ya Wiki ya Nebda kwa Usalama Kitaifa mkoani Iringa. Abri pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Nenda kwa Usalama Mkoa wa Iringa.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akimkabidhi cheti Mkurugenzi wa Redio One na Capita Radio, Deogratius Rweiyunga kwa mchango wake wa kufanikisha Maadhimisho hayo ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa mkoani Iringa.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akimkabidhi cheti Mmwenyekiti wa Kamati ya Nenda kwa Usalama Mkoa wa Geita, Willson Msuka kwa mchango wake wa kufanikisha Maadhimisho hayo ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa mkoani Iringa.
Baadhi ya madereva wa Pikipiki mkoani Iringa waliopatiwa mafunzo maalum ya uendeshaji pikipiki na kufaulu wakila kiapo cha utii wa sheria za barabarani mbele ya Mgeni rasmi.
Meneja wa Mkoa wa Iringa wa Shirika la Bima la Taifa, (NIC) Ally Mohamed (kulia) akitoa maelezo ya taasisi hiyo kwa Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma alipotembelea banda hilo. Wengine ni Mbunge wa Viti Maalum Iringa, Ritha Kabati (kushoto) na Kamanda wa Trafiki, Kamishna Msaidizi Mohamed Mpinga.
![]() |
| Mgeni Rasmi katika ufungaji wa Wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akizungumza na wageni pamoja na wananchi mbalimbali walofika katika maonesho hayo, Viwanja vya Samora, mjini Iringa leo. Mgeni rasmi katika ufungaji wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Rymond Mushi, akizungumza wakati alipokuwa akifunga Wiki ya Nenda kwa Usalama, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk, Dar es Salaam) Mgeni rasmi katika ufungaji wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Rymond Mushi, akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wa Chama cha Msalaba Mwekundu, mwakilishi wa chama hicho, wakati alipofunga maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo. Mgeni rasmi katika ufungaji wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Rymond Mushi, akimkabidhi bahasha yenye fedha mwanafunzi Rebecca Andrew wa Shule ya Msingi Oystebay kutokana na kujibu vizuri maswali yahusuyu sheria ya nenda kwa usalama barabarani, wakati wa ufungaji wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo. Mgeni rasmi katika ufungaji wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Rymond Mushi, akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wake, mjumbe wa Kamati ya Nenda kwa Usalama, Tabu Shaibu wakati alipoyafunga maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo. Mgeni rasmi katika ufungaji wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Rymond Mushi, akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wa kitengo cha Polisi cha Usalama Barabarani, mwakilishi wa kitengo hucho, wakati alipoyafunga maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo. Koplo Wilson Mwageni wa Kikosi cha Usalama Zimamoto, akimpatia maelezo Mgeni rasmi katika ufungaji wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Rymond Mushi, kuhusu kifaa cha kudhibiti moshi na moto sehemu ya makazi, wakati wa ufungaji wa Wiki ya Nenda kwa Usalama, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo. Mgeni rasmi katika ufungaji wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Rymond Mushi, akipiga picha ya kumbukumbu na baadhi ya wanafunzi wa Shule mbalimbali za Msingi walioshirika katika ufungaji wa Wiki ya Nenda kwa Usalama, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam leo. |




























No comments:
Post a Comment