APRM kuwafunda Maofisa wa Serikali kusimamia, kuoanisha utekelezaji maoni ya wananchi kuhusu utawala bora
Katibu Mtendaji wa Mpango wa Afrika, Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM), tawi la Tanzania, Rehema Twalib (kulia), akiongea na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam leo, kuhusu mafunzo ya Maofisa Mipango wa Serikali yanayolenga kuwaelimisha jinsi ya kusimamia na kuoanisha utekelezaji wa maoni ya Watanzania kuhusu utawala bora. Mafunzo hayo yanaanza kesho tarehe 25 Septemba 2012, jijini. Kushoto ni Mratibu wa APRM kutoka Makao Makuu, Dk. Rachel Mukamunana. (Picha zote na Veronica Kazimoto- MAELEZO- Dar es Salaam)
Katibu Mtendaji wa Mpango wa Afrika, Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM), tawi la Tanzania, Rehema Twalib (kulia), akiongea na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam leo, kuhusu mafunzo ya Maofisa Mipango wa Serikali yanayolenga kuwaelimisha jinsi ya kusimamia na kuoanisha utekelezaji wa maoni ya Watanzania kuhusu utawala bora. Mafunzo hayo yanaanza kesho tarehe 25 Septemba 2012, jijini. Kushoto ni Mratibu wa APRM kutoka Makao Makuu, Dk. Rachel Mukamunana.
Katibu Mtendaji wa Mpango wa Afrika, Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM), tawi la Tanzania, Rehema Twalib (kulia), akiongea na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam leo, kuhusu mafunzo ya Maofisa Mipango wa Serikali yanayolenga kuwaelimisha jinsi ya kusimamia na kuoanisha utekelezaji wa maoni ya Watanzania kuhusu utawala bora. Mafunzo hayo yanaanza kesho tarehe 25 Septemba 2012, jijini. Kushoto ni Mratibu wa APRM kutoka Makao Makuu, Dk. Rachel Mukamunana

Katibu Mtendaji wa Mpango wa Afrika, Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM), tawi la Tanzania, Rehema Twalib (kulia), akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu mafunzo ya Maofisa Mipango wa Serikali yanayolenga kuwaelimisha jinsi ya kusimamia na kuoanisha utekelezaji wa maoni ya Watanzania kuhusu utawala bora. Mafunzo hayo yanaanza kesho tarehe 25 Septemba 2012 jijini. Katikati ni Mratibu wa APRM kutoka Makao Makuu, Dk. Rachel Mukamunana na kushoto ni Ofisa anayeshughulikia masuala ya APRM na NEPAD kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa UNDP Zemenay Lakew.

Katibu Mtendaji wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora(APRM) Tawi la Tanzania Rehema Twalib (kulia) akiongea na waandishi wa habari jana(leo) mjini Dar es salaam kuhusu mafunzo ya Maofisa Mipango wa serikali yanayolenga kuwaelimisha jinsi ya kusimamia na kuoanisha utekelezaji wa maoni ya watanzania kuhusu utawala bora. Mafunzo hayo yanaanza kesho tarehe 25 septemba 2012 mjini Dar es salam. Katikati ni Mratibu wa APRM kutoka Makao Makuu, Dk. Rachel Mukamunana na kushoto ni Ofisa anayeshughulikia masuala ya APRM na NEPAD kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa UNDP Zemenay Lakew .
No comments:
Post a Comment