Rais wa Rwanda, Paul Kagame akisalimiana na mjumbe wa bodi ya udhamini ya klabu ya Yanga wakati msafara wa viongozi na wachezaji wa klabu hiyo walipofika Ikulu ya Kigali jana. (Picha zote na Saleh Ally)
Rais Paul Kagame wa Rwanda akisalimiana na kocha Mkuu wa Yanga, Tom Saintfiet wakati msafara wa viongozi na wachezaji wa timu hiyo walipomtembelea Ikulu jijini Kigali jana.
Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji akizungumza katika hafla iliyoandaliwa na Rais Paul Kagame, mjini Kigali, Rwanda jana.
Wachezaji wa Yanga wakiwa katika hafla iliyoandaliwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda, Ikulu mjini Kigali, Rwanda jana.
Rais Paul Kagame wa Rwanda akipokea Kombe la klabu Bingwa Afika Mashariki kutoka kwa Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro' na kocha wa Yanga, Tom Sainrfiet
| Mjumbe wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Seif magari (kushoto), akimkabidhi Rais Kagame wa Rwanda jezi ya timu hiyo, walipomtembelea Ikulu mjini Kigali jana. |
| Rais Kagame akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji, Ikulu mjini Kigali jana. |
Kikosi cha Yanga pamoja na viongozi wake, wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Rwanda, Paul Kagame (katikati) jana walipomtembelea Ikulu, mjini Kigali.

No comments:
Post a Comment