TANGAZO


Saturday, August 25, 2012

Rais Dk.Shein akutana na Mwakilishi wa Kudumu wa Tz katika UN

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Tuvuko Manongi, Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekeni (kulia), alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo na katikati Naibu wake Balozi Ramadhan Muombwa .(Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi Tuvuko Manongi,mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekeni,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais. Kushoto ni Naibu wake Balozi Ramadhan Muombwa
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Balozi Tuvuko Manongi,Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekeni,(kushoto) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais, katikati ni Naibu Balozi Ramadhan Muombwa

No comments:

Post a Comment