TANGAZO


Wednesday, August 29, 2012

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Leonard Thadeo afungua mkutano wa undelezaji Vipaji

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bwana Leornad Thadeo akifungua Mkutano wa wadau uliojadili mfumo wa ushiriki katika michezo na uendelezaji wa vipaji vya wanamichezo nchini. Mkutano huo ulifanyika jana jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa British Council.(Picha zote na Benjamin Sawe wa WHVUM)

 Baadhi ya wadau wa michezo nchini wakisikiliza hotuba kutoka kwa mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini Bwana Leornad Thadeo hayupo pichani.Mkutano huo ulijadili mfumo wa ushiriki katika michezo na uendelezaji wa vipaji vya wanamichezo nchini.

Mkurugenzi wa Miradi kutoka British Council Andrew Piner akifunga mkutano wa siku moja uliokusanya wadau mbalimbali kutoka taasisi mbalimbali.Mkutano huo ulijadili mfumo wa ushiriki katika michezo na uendelezaji wa vipaji vya wanamichezo nchini.

No comments:

Post a Comment