TANGAZO


Friday, August 24, 2012

Mama Kikwete azindua mpango kasi wa kuwawezesha wanawake

Mwenyekiti  wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete akiingia katika ukumbi wa Hyatt  Regency Hotel, uliopo jijini Dar es Salaam leo, kwa ajili ya uzinduzi wa  mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana kiafya, kielimu na kijamii.


Mwenyekiti  wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete (kushoto), akiongea na Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN), Asha Rose Migiro, wakati wa uzinduzi wa  mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana kiafya, kielimu na kijamii katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency, uliopo jijini Dar es Salaam leo.

Katibu wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Daud Nasibu akitoa utambulisho wakati wa uzinduzi wa  mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana  kiafya , kielimu na kijamii katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt  Regency uliopo jijini Dar es Salaam leo.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Husein Mwinyi  akisoma hotuba  yake, wakati wa uzinduzi wa  mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana  kiafya , kielimu na kijamii katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt  Regency uliopo jijini Dar es Salaam leo.

Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa UN, Asha Rose Migiro akiongea na wadau mbalimbali (hawapo pichani), wakati wa uzinduzi wa  mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana kiafya, kielimu na kijamii katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt  Regency uliopo jijini Dar es Salaam leo.

Mwenyekiti  wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete akiwaelezea wadau mbalimbali jinsi  mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana kiafya, kielimu na kijamii unavyofanya kazi hapa nchi leo katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency uliopo jijini Dar es Salaam.

Viongozi mbalimbali wakifurahia wimbo wa wanawake na maendeleo, ulioimbwa na msanii Vicky Kamata, wakati wa uzinduzi wa  mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana  kiafya, kielimu na kijamii katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt  Regency uliopo jijini Dar es Salaam leo. 

Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti  wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete, akizungumza wakati alipokuwa akizindua mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana kiafya, kielimu na kijamii katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency uliopo jijini Dar es Salaam leo.

Wake wa viongozi  wakicheza wimbo wa wanawake na maendeleo ulioimbwa na msanii Vicky Kamata wakati wa uzinduzi wa  mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana  kiafya, kielimu na kijamii katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt  Regency uliopo jijini Dar es Salaam leo.

Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete (kushoto), akiongea jambo na  Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa UN, Asha Rose Migiro wakati wa uzinduzi wa  mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana kiafya, kielimu na kijamii katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency uliopo jijini Dar es Salaam leo.

Wake wa viongozi, wakiwa katika picha ya pamoja  mara baada ya kumalizika kwa kwa uzinduzi wa  mpango kasi wa kuwawezesha wanawake na wasichana  kiafya, kielimu na kijamii katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt  Regency uliopo jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Anna Itenda – Maelezo)

No comments:

Post a Comment