| Spika wa Bunge, Anne Makinda akimkabidhi kanuni za Bunge Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia baada ya kumuapisha, Bungeni mjini Dodoma, leo Juni 12,2012. |
| Mbunge wa kuteuliwa, Saada Mkuya Salum, akiapa Bungeni mjini Dodoma leo. |
| Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (wa pili kushoto), akizungumza na Wabunge kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Kushoto ni Vita Kawawa wa Namtumbo. |
| Mbunge wa kuteuliwa, Sospeter Mwijarubi Muhongo, akiapa Bungeni mjini Dodoma, leo Juni 12, 2012. |

No comments:
Post a Comment