![]() |
| Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wakiwa katika mkutano wa Tume hio na Waandishi wa Habari, uliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar leo. |
![]() |
| Mwandishi wa habari kutoka Gazeti la Majira, Mwajuma Juma akiuliza maswali katika mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na waandishi wa habari, uliofanyika Bwawani Hotel Mjini Zanzibar. |
![]() |
| Mwandishi wa habari kutoka Idara ya Habari Maelezo, akiuliza maswali katika mkutano wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na waandihsi wa habari, uliofanyika H oteliBwawani Mjini Zanzibar. |







No comments:
Post a Comment