TANGAZO


Monday, June 4, 2012

Rais Dk. Shein azungumza na Utumishi wa Umma, Ofisi yake Idara maalum

Baadhi ya Watendaji wa Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakiwa katika mkutano chini ya Mwenyekiti wake, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, mkutano huo unahusu masuala mbalimbali ya kiutendaji, katika

Ofis za Wizara hiyo, ukumbi wa Ikulu mjini Zanzibar leo.
                          

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa  Ofisi  ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakiwa katika mkutano unaohusu utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Wizara hiyo, katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu, mjini Zanzibar leo.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa  Ofisi  ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakiwa katika mkutano unaohusu utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Wizara hiyo, katika ukumbi wa mikutano Ikulu, mjini Zanzibar  leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa  Ofisi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Idara Maalum  katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Idara hizo, katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu, mjini Zanzibar leo.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa  Ofisi ya Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Idara Maalum  katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Idara hizo, katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu, mjini Zanzibar leo.   


Baadhi ya watendaji wa Ofisi za Idara Maalum katika Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, wakiwa katika mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, mkutano huo unahusu masuala mbalimbali ya kiutendaji katika Idara hizo, uliofanyika ukumbi wa Ikulu
mjini Zanzibar leo. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)

No comments:

Post a Comment