Katibu Msaidizi wa CCM, Anastazia Mwonga, akikabidhi fomu kwa mkereketwa wa CCM, Yahaya Ndomondo Dar es Salaam leo, wakati alipofika ofisini hapo kwa ajili ya kijitosa kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi wa chama hicho.
Ndomondo, akitabasamu wakati akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi Siasa na Uenezi wa Chama hicho, wilayani Temeke leo na Katibu Msaidizi wa CCM, Anastazia Mwonga, Temeke jijini Dar es salaam. (Picha zote na Super D, Mnyamwezi)

No comments:
Post a Comment