![]() |
| Benchi la wachezaji wa akiba wa timu ya taifa ya soka ya wanawake, Twiga Stars wakiimba wimbo wa taifa huku wakinyeshewa na mvua . Picha na Zubery Blog |
![]() |
| Manahodha wa Twiga Stars Asha Said 'Mwalala' kushoto na mwenzake wa Zimbambwe wakisalimiana kabla ya mechi. |
Manahodha wa timu za Taifa za Tanzania na Zimbabwe, wakiwa na waamuzi wa mchezo huo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
![]() |
| Kikosi cha timu ya Taifa Wanawake wa Tanzania 'Twiga Stars' |
![]() |
| Kikosi cha timu ya Taifa ya Wanawake wa Zimbabwe |






No comments:
Post a Comment