Mjumbe wa Kamati ya kudhibiti mapato na matumizi ya Fedha za Serikali ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mbarouk Mtando, akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yaliojitokeza katika baadhi ya taasisi visiwani humo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Omar Ali Shehe. (Picha na Yussuf Simai Ali - Maelezo ZANZIBAR)
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudhibiti Mapato na Matumizi ya Fedha za Serikali ya Baraza la Wawakilishi, Fatuma Mbarouk, akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yaliojitokeza katika baadhi ya taasisi. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Omar Ali Shehe.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudhibiti Mapato na Matumizi ya Fedha za Serikali ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Omar Ali Shehe, akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali yaliojitokeza katika baadhi ya taasisi. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Fatuma Mbarouk na kulia ni mjumbe wa kamati, Mbarouk Mtando.
Baadhi ya wajumbe na waandishi mbalimbali wa habari, waliohudhuria katika mkutano wa kamati ya hiyo, wakimsikiliza Mwenyekiti wa kamati hiyo, Omar Ali Shehe, wakati alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali yaliyojitokeza kwa baadhi ya taasisi katika mkutano uliofanyika Mbweni mjini Unguja leo, katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
No comments:
Post a Comment