TANGAZO


Monday, February 27, 2012

Waziri Huvisa atembelea na kukagua hifadhi za mazingira Kigoma

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akitoa maelezo ya kazi baada ya kukagua chanzo cha maji, Kibirizi Manispaa ya Kigoma leo Februari 27, 2012. (Picha na Ali Meja)



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugezi wa Manispaa ya Kigoma, Protus Kato juu ya jitihada zinazofanywa na Manispaa hiyo, kukusanya taka katika soko la Nazareti. Waziri Huvisa alifanya ziara ya kushtukiza katika Manispaa hiyo kuangalia hifadhi ya Mazingira.

No comments:

Post a Comment