TANGAZO


Friday, February 24, 2012

Rais Kikwete awasili Gaborone, Botswana

 Rais Jakaya  Mrisho Kikwete, akilakiwa na mwenyeji wake, Rais wa Botswana Luteni Jenerali, Seretse Khama Ian Khama, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Sir Serese Khama,  jijini Gaberone, Botswana, leo February 24, 2012, kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo pia athudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo. (Picha na Ikulu)





 Rais Jakaya  Mrisho Kikwete, akiongozana na  mwenyeji wake, Rais wa Botswana Luteni Jenerali, Seretse Khama Ian Khama, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Sir Serese Khama,  jijini Gaberone, Botswana, leo. 


 Rais Jakaya  Mrisho Kikwete, akikagua gwaride la heshima baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Sir Serese Khama,  jijini Gaberone, Botswana  leo. 



  Rais Jakaya  Mrisho Kikwete, akiangalia ngoma ya Makhirikhiri na mwenyeji wake, Rais wa Botswana Luteni Jenerali, Seretse Khama Ian Khama, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Sir Serese Khama,  jijini Gaberone, Botswana.




 Wananchi waliofika Uwanja wa ndege wa Sir Serese Khama,  jijini Gaberone, Botswana, wakipunga bendera kumlaki Rais Jakaya Kikwete, alipowasili uwanjani hapo leo. 




 Wananchi waliofika Uwanja wa ndege wa Sir Serese Khama,  jijini Gaberone, wakiwania kumpa mkono Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, alipowasili nchini humo leo kwa ziara ya siku mbili.

No comments:

Post a Comment