TANGAZO


Thursday, January 19, 2012

Mgambo wamwaga maandazi na vitumbua Posta Mpya

 Askari Mgambo wa Manispaa ya Ilala, wavunja vifaa vya kupangia biashara za mama wauza maandazi na vitumbua baada ya kuyamwaga, maeneo ya Posta Mpya, Dar es Salaam leo asubuhi. (Picha na Kassim Mbarouk)


Mgambo wakivunja vifaa hivyo walivyovichukua kutoka kwa wafanyabishara wa maandazi na vitumbua baada ya kuwafurusha, maeneo ya Posta Mpya, Dar es Salaam jana.


Mgambo wa jiji, akivinjari maeneo ya Posta baada ya kuwapora na kuyamwaga maandazi na vitumbua vyao.

No comments:

Post a Comment