TANGAZO


Sunday, December 11, 2011

Rais Kikwete na wageni wake

Rais Jakaya Kikwete, akiwa na Makamu Rais, Mohamed Gharib Bilal (kulia), Rais wa Serikali ya Zanzibar, Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) na Viongozi wageni wa nchi mbalimbali, waliohudhuria katika maadhimisho hayo, akipokea heshima kutoka kwa Jeshi la Wananchi (JWTZ) katika maadhimisho hayo.

No comments:

Post a Comment