TANGAZO


Sunday, December 11, 2011

Nakutunuku

Rais Jakaya Kikwete, akimvalisha mkanda wa heshima Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi na kisha kumtunuku nishani ya Uongozi wa heshima, Ikulu Dar es Salaam juzi jioni. (Picha na Richard Mwaikenda)

No comments:

Post a Comment