TANGAZO


Thursday, December 8, 2011

Madai ya watu wa Mikwambe

Wakazi wa kijiji cha Mikwambe, Block 26, Tuangoma, Temeke, wakiwa nje ya lango la kuingilia jengo la Wizara ya Ardhi na Maendelo ya Makazi, Dar es Salaam jana, wakidai kuzuiwa kuingia kwenye jengo hilo, walipotaka kwenda kumuona Waziri na Katibu wake kuhusu suala la fidia zao za malipo ya maeneo yao yaliyochukuliwa na Serikali tokea 2006. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)

No comments:

Post a Comment