Fainali CECAFA Challenge Cup
Musa Mudde wa 'The Cranes' akizuia mpira huku akipata upinzani kutoka kwa Kagere Medie wa Rwanda katika mchezo wa fainali za michuano ya Kombe la CECAFA, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi. Uganda ilishinda kwa mikwaju ya penalti 3-2, baada ya kumaliza dakika 120 zikiwa zimefungana mabao 2-2. (Picha na Kassim Mbarouk)
No comments:
Post a Comment