Rais wa Serikali ya Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi la benki ya Kiislamu la benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam jana. Katikati ni Makamu wake wa Pili, Balozi Seif Ali Idd na kushoto ni Waziri wake wa Fedha.(Picha na Kassim Mbarouk)
No comments:
Post a Comment