TANGAZO


Saturday, October 7, 2017

WATEJA WA TIGO MKOANI NJOMBE WAFURAHIA HUDUMA ZITOLEWAZO NA TIGO MSIMU HUU WA FIESTA

Mtoa huduma wa duka la Tigo mkoani Njombe, Vaileth Burton akitoa huduma kwa wateja waliofika dukani leo hapo kupata huduma mbalimbali msimu huu wa Tigo fiesta 2017 ambapo bidhaa za Tigo zinapatikana kwa bei nafuu.

Mtoa huduma wa duka la Tigo mkoani Njombe, Israel Joseph akitoa huduma kwa wateja waliofika dukani leo hapo kupata huduma mbalimbali msimu huu wa Tigo fiesta 2017 ambapo bidhaa za Tigo zinapatikana kwa bei nafuu.

Baadhi ya wateja wakipata huduma mbalimbali ikiwemo kujipatia tiketi za Tigo Fiesta mkoani Njombe.

No comments:

Post a Comment