Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ambaye ni Mkuu
wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akitumia haki
yake ya kikatiba ya kupiga kura kwa mujibu wa katiba ya CCM.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Ikungi
wakifatilia mkutano huo uliomalizika kwa salama na amani.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ambaye ni Mkuu
wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza wakati akiomba kura kabla ya kuchaguliwa kwa kishindo. katika nafasi ya Ujumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ambaye ni Mkuu
wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe Miraji Jumanne Mtaturu (Katikati) akiwa
na Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi Mhe Elibariki Kingu (Kushoto) na Mwenyekiti
aliyemaliza muda wake leo Ndg Hassan Tati wakifatilia mkutano Mkuu wa CCM.
No comments:
Post a Comment