Mtangazaji wa Radio TBC Fm, Enock Bwigane, akitangaza mchezo huo, wa wataji wa jadi.
Wachezaji wakitoka kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na kuanza kuingia uwanjani kuanza mtanange huo.
Wachezaji wakisalimiana kaba ya mpira kuanza.
Kikosi cha timu ya Simba kikipiga picha ya pamoja.
Kikosi cha timu ya Yanga kikipiga picha ya pamoja.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo.
Haruna Niyonzima wa Simba, akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Geofrey Mwashiuya wa Yanga.Erasto Nyoni wa Simba akiuzuia mpira huku akifuatwa na Geofrey Mwashiuya wa Yanga kwa daluga.
Shiza Kichuya (25) wa Simba akifuatwa na Juma Abdul (katikati) na Gadiel Michael, wote wa Yanga.
Laudit Mavugo wa Simba akiuchukua mpira mbele ya Kelvin Yondani wa Yanga.
Andrew Vicent wa Yanga akipambana na Emmanuel Okwi wa Simba.
Shiza Kichuya akishangilia bao aliloifungia timu yake ya Simba katika mchezo huo.
Kichuya (kushoto) na James Kotei wakishangilia bao hilo.
Mashabiki wa Simba wakishangilia bao lililofungwa na Shiza Kichuya.
Ubao wa matokeo ukionesha Yanga 0 na Simba bao 1.
Haruna Niyonzima wa Simba akiwa na mpira huku akifuatwa na Juma Abdul (katikati) na Andrew Vicent wa Yanga.
Emmanuel Okwi wa Simba akiwa na mpira huku akifuatwa na Juma Abdul (katikati) na Andrew Vicent wa Yanga.
Pato Ngonyani wa Yanga (15) na Haruna Niyonzima wa Simba wakiwania mpira wa juu katika mchezo huo.
Haruna Niyonzima wa Simba akiondoka na mpira huku akifuatwa na Pato Ngonyani wa Yanga.
Hapa ubao wa matokeo ukionesha Yanga 1 na Simba 1, baada ya kufanikiwa kusawazisha bao kupitia kwa mchezaji wake Obrey Chirwa na mpira huo kumalizi timu hizo zikiwa zimetoka sare na kugawana pointi moja, moja na bao moja kila timu.
No comments:
Post a Comment