![]() |
Msanii Aslay akitumbuiza mashabiki waliofurika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga kwenye Tamasha kubwa la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumamosi.
|
![]() |
RosaRee akiwa katika jukwaa la Tigo Fiesta.
|
![]() |
| Msanii Zaidi yao akiimba na mashabbiki zake katika Tamasha la Tigo Fiesta Mkoani Tanga. |
![]() |
Msanii wa bongo fleva, Nandy akiwa kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga usiku wa kuamkia Jumamosi.
|





No comments:
Post a Comment