TANGAZO


Sunday, August 27, 2017

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA, RODRICK MPOGORO AFUNGUA MAFUNZO ELEKEZI KWA MAKATIBU WA UVCCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI

Naibu Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi ndg. Rodrick mpogoro akifungua Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana na Mjumbe wa Kamati Kuu  ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Sadifa Juma khamisi akizungumza katika Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa Kamati Kuu Ofisi Ndogo ya CCM, Lumumba Dar es Salaam.
Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Umoja wa Vijana wa CCM Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani katika ukumbi wa Kamati Kuu Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba Dar es Salaam.

Washiriki wa mafunzo elekezi wakifuatilia mafunzo.
Mshiriki Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro ndg. Abdulrahim Hamid akiuliza swali wakati wa Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)

No comments:

Post a Comment