TANGAZO


Saturday, July 15, 2017

WAZIRI UMMY MWALIMU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI JENGO LA UPASUAJI KITUO CHA AFYA KINGAGAI WILAYANI LUSHOTO MKOANI TANGA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akipiga makofi wakati alipoweka jiwe la msingi wa ujenzi wa jengo la upasuaji katika kituo cha afya Kingagai, wilayani Lushoto. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi wa ujenzi wa jengo la upasuaji katika kituo cha afya Kingagai, wilayani Lushoto. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kulia), akipiga makofi mara baada ya kufunua pazia kuashiria uwekaji jiwe la msingi wa ujenzi wa jengo la upasuaji katika kituo cha afya Kingagai, wilayani Lushoto. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto), akisoma maandishi mara baada ya kufunua pazia kuashiria uwekaji jiwe la msingi wa ujenzi wa jengo la upasuaji katika kituo cha afya Kingagai, wilayani Lushoto. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela.

No comments:

Post a Comment