TANGAZO


Monday, May 1, 2017

MISS BEATRICE ENOCK WA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA AVISHWA PETE YA UCHUMBA

Mtoto wa kiroho aliyezaliwa katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza, Mr. Peter Mlekwa, jana jumapili April 30, 2017 amevisha pete ya uchumba, mchumba wake Miss Beatrice Enock pia wa kanisa hilo.

Zoezi hilo lilifanyika kanisani hapo chini ya Mchungaji Kiongozi, Dkt.Daniel Moses Kulola, ambapo wawili hao wapendanao walitambulishana mbele ya madhabahu katika kuianza safari yao ya ndoa inayotarajiwa kufanyika mwaka huu.(BMGHabari)
Mr.Peter Mlekwa akimvalisha mchumba wake zawadi ya saa.
Wachumba, Miss Beatrice Enock na Mr.Peter Mlekwa.
Mchungaji Dkt.Daniel Kulola akiwaombea wawili hao kuwa wachumba.
Mchungaji Kulola (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wachumba hao.
Miss Beatrice Enock (kulia) akiwa na best lady wake, Happy Emmanuel.
Muda wa pongezi kwa wachumba hao.
Muda wa pongezi kwa wachumba hao.
Muda wa pongezi kwa wachumba hao.
Muda wa pongezi kwa wachumba hao.
Waumini wa kanisa la EAGT Lumala Mpya katika picha ya pamoja na wachumba hao.
Tunawatakia kila la Kheri katika Uchumba wao na katika kutimiza ndo yao ya kuifikia ndoa takatifu, Miss Beatrice Enock na Mr.Peter Mlekwa.

No comments:

Post a Comment