Waziri wa Elimu Sayansi na
Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akiongea na wajumbe wa Bodi mpya ya Mamlaka
ya Elimu Tanzania (TEA) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi huo ambapo
ameielekeza Bodi hiyo kutekeleza miradi Kwa wakati.
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akimkabidhi mmoja wa wajumbe wapya wa Bodi ya Elimu Tanzania (TEA), Gerald Mweli mwongozo wa kutekeleza majukumu ya bodi. Wajumbe wa Bodi ya Elimu Tanzania (TEA) pamoja na watendaji wa Mamlaka hiyo wakisikiliza hotuba ya Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa bodi hiyo.
No comments:
Post a Comment