Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Standard Chartered (Tanzania), Bw. Sanjay Rughani (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Uamuzi Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Bw. Salum Chamawachezaji wakifuatilia mpira katika mechi ya ufunguzi kati ya Standard Chartered na Wenyeji (JK Youth Park) baada ya Ufunguzi
wa Mashindano ya Kombe la Standard Chartered kwa Mwaka 2017 yaliyoanza
leo 25/02/2017 katika Viwanja vya JK Youth Park (Kidongo Chekundu)
Jijini Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment