TANGAZO


Saturday, January 21, 2017

WAZIRI NAPE NNAUYE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ITALIA NCHINI



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni wakati alipotembelewa ofisini kwake leo 21 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akifanya mazungumzo na mgeni wake ambaye ni Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni kuhusu mausuala mbalimbali ya habari ofisini kwake 21 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akifafanua baadhi ya masuala mbalimbali yanayohusiana na habari wakati alipofanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni ofisini kwake 21 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.



Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni (kushoto) akieleza masuala mbalimbali yanayohusiana na habari na utamaduni wa Italia wakati alipomtembelea Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye leo 21 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.


Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni (kushoto) akimpatia Kadi ya Mawasiliano Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye wakati alipomtembelea ofisini kwake leo 21 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Benedict Liwenga)

No comments:

Post a Comment