Pages

Monday, January 9, 2017

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA JIJINI OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watuwa China, Mhe. Wang Yi ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo mafupi. Waziri Wang Yi yupo nchini kwa ziara ya siku moja. 
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiongea jambo na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi ofisini kwake, jijini Dar es Salaam na kukubaliana kuendelea kuimarisha zaidi uhusiano kati ya Tanzania na China. Kushoto kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga. 
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiongea jambo na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi ofisini kwake, jijini Dar es Salaam na kukubaliana kuendelea kuimarisha zaidi uhusiano kati ya Tanzania na China. Kushoto kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dkt. Augustine Mahiga.(Picha zote na Daudi Manongi-Maelezo)

No comments:

Post a Comment