Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiongea jambo na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi ofisini kwake, jijini Dar es Salaam na kukubaliana kuendelea kuimarisha zaidi uhusiano kati ya Tanzania na China. Kushoto kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiongea jambo na mgeni
wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa
China, Mhe. Wang Yi ofisini kwake, jijini Dar es Salaam na kukubaliana kuendelea kuimarisha
zaidi uhusiano kati ya Tanzania na China. Kushoto kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dkt. Augustine
Mahiga.(Picha zote na Daudi Manongi-Maelezo)

No comments:
Post a Comment