TANGAZO


Tuesday, January 24, 2017

WATAALAMU WA TAKWIMU ZA MAZINGIRA WAJENGEWA UWEZO

Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Irenius Ruyobya akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha ya Kitaifa kuhusu Takwimu za mazingira mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Sehemu ya Takwimu kutoka Umoja wa Mataifa Divisheni ya Takwimu (UNSD) Bibi. Reena Shah akifafanua jambo kwa washiriki wa warsha ya Kitaifa kuhusu Takwimu za mazingira mapema hii leo jijini Dar es Salaam. 
Mtaalamu wa Takwimu kutoka Sekretarieti  ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Michael Gitau Gituanja akifafanua jambo kwa washiriki wa warsha ya Kitaifa kuhusu Takwimu za mazingira mapema hii leo jijini Dar es Salaam.  
Meneja wa Takwimu za Mazingira akifafanua jambo kwa washiriki wa warsha ya Kitaifa kuhusu Takwimu za mazingira  mapema hii leo jijini Dar es Salaam. 
Baadhi ya washiriki wa warsha ya Kitaifa kuhusu Takwimu za Mazingira wakifuatilia mada zilizokuwazikiwasilishwa wakati wa ufunguzi wa hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam. 
Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Irenius Ruyobya (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha ya Kitaifa kuhusu Takwimu za mazingira mapema hii leo jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Idara ya Habari, Maelezo)

No comments:

Post a Comment