TANGAZO


Tuesday, January 24, 2017

IDARA YA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA TAIFA YAFANYA UKAGUZI WA HALI YA UTUNZAJI KUMBUKUMBU KATIKA OFISI ZA MAMLAKA YA MAPATO MKOANI MBEYA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw. Charles G. Magaya (aliyevaa koti la kijivu) akizungumza na Watendaji wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoani Mbeya kuhusu namna bora ya Utunzaji wa Kumbukumbu za ofisi alipofanya ziara ya kikazi kujionea hali ya utunzaji kumbukumbu mkoani humo. 
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Bw. Charles G. Magaya akikagua utunzaji wa kumbukumbu katika masijala ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)  Mkoani Mbeya alipofanya ziara ya kikazi kujionea hali ya utunzaji kumbukumbu mkoani humo.

No comments:

Post a Comment