Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) Dkt. Akwilina Kayumba
akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam kuhusu wakala huo kufanikiwa kuvuka lengo kwa
kufanya kaguzi 41,551 katika kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba
2016. Kulia ni Mkurugenzi wa Usalama na Afya wa OSHA Bw. Alex Ngata.
Baadhi ya
waandishi wa habari wakufuatilia mkutano wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa
Kazi (OSHA) leo jijini Dar es salaam. (Picha zote na
Frank Mvungi-Maelezo)
No comments:
Post a Comment