TANGAZO


Wednesday, January 25, 2017

MADAKTARI BINGWA WA MOYO YA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA MADAKTARI AFRIKA WA NCHINI MAREKANI WATOA HUDUMA YA KUZIBUA MISHIPA YA MOYO ILIYOZIBA

Madaktari Bingwa wa Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Madaktari Afrika wa nchini Marekani wakitoa huduma kwa mgonjwa ya kuzibua mshipa wa moyo uliokuwa umeziba bila ya kupasua kifua (Catheterization). Kulia ni Dkt. Peter Kisenge, akifuatiwa na Dkt. Peter O’brien na kushoto ni Afisa Muuguzi Ayoub Mchau. (Picha zote na Anna Nkinda – JKCI)
Madaktari Bingwa wa Moyo wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), kwa kushirikiana na Madaktari Afrika wa nchini Marekani wakitoa huduma kwa mgonjwa ya kuzibua mshipa wa moyo uliokuwa umeziba  bila ya kupasua kifua (Catheterization). Kulia ni Dkt. Peter Kisenge, akifuatiwa na  Dkt. Peter O’brien na kushoto ni Afisa Muuguzi Ayoub Mchau. 
Madaktari Bingwa wa Moyo wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Madaktari Afrika wa nchini Marekani wakitoa huduma kwa mgonjwa ya kuzibua mshipa wa moyo uliokuwa umeziba  bila ya kupasua kifua (Catheterization). Kulia ni Dkt. Peter Kisenge, akifuatiwa na  Dkt. Peter O’brien na kushoto ni Afisa Muuguzi Ayoub Mchau. 
Daktari Bingwa wa Moyo kutoka nchini Marekani, Dkt. Peter O’brien na Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Ayoub Mchau wakitoa huduma kwa mgonjwa, ya kuzibua mshipa wa moyo uliokuwa umeziba  bila ya kupasua kifua (Catheterization). 
Madaktari Bingwa wa Moyo wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), kwa kushirikiana na Madaktari wa nchini Marekani, wakiendelea na kazi ya kutoa  huduma kwa mgonjwa, ya kuzibua mshipa wa moyo uliokuwa umeziba  bila ya kupasua kifua (Catheterization). 
Madaktari Bingwa wa Moyo wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Madaktari Afrika wa nchini Marekani wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizi kutoa huduma kwa mgonjwa ya kuzibua mshipa wa moyo uliokuwa umeziba  bila ya kupasua kifua (Catheterization).


No comments:

Post a Comment