Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiagana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo mara baada ya kutembelea Taasisi hiyo jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo alipotembelea Taasisi hiyo jana. Kushoto ni Afisa Muuguzi Edna Kajuna.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi akiwa
katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Dar es
Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo
alipotembelea Taasisi hiyo jana.
Kushoto ni Afisa Muuguzi Edna Kajuna. (Picha zote na
Anna Nkinda – JKCI)
No comments:
Post a Comment