Chini na Juu: Baadhi ya Wabunge na Mawaziri wakiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhulia kikao cha Saba cha mkutano wa Tano wa Bunge la 11 linalendelea Mjini Dodoma.
Chini na Juu: Baadhi ya Wabunge na Mawaziri wakiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhulia kikao cha Saba cha mkutano wa Tano wa Bunge la 11 linalendelea Mjini Dodoma.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako akiwasili kwenye viwanja vya Bunge, mjini Dodoma leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe. Suleiman Jafo akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge wakati wa kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi na Ajira Mhe. Anthony Mavunde akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge wakati wa kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Hamis Kigwangalla akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge wakati wa kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt. Medard Kalemani akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge wakati wa kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.
Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge wakati wa kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge wakati wa kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.
Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini, Mhe. Hussein Bashi akiuliza swali katika kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba wakati wa kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.(Picha zote na Idara ya Habari Maelezo)

No comments:
Post a Comment