Pages

Tuesday, September 13, 2016

Mwanariadha wa Nigeria aliyesherehekea ushindi kwa mbwembwe

Onye akirusha tufe

Image copyrightREUTERS
Image captionOnye akirusha tufe
Mwanariadha wa Nigeria Lauritta Onye alionyesha mbwe mbwe zisizo za kawaida, kwanza baada ya kushinda dhahabu katika urushaji Tufe ikiwa ndiyo dhahabu wa kwanza kwa Nigeria katika mashindano hayo ya walemavu, na pili ni kuhusu jinsi alivyosherehekea ushindi wake.
Mbwembwe za Onye za kusherehekeaImage copyrightGETTY IMAGES
Image captionMbwembwe za Onye za kusherehekea
Picha zake zimekuwa kwenye mitandao kufuatia ushindi wake katika miongoni mwa wanariadha wafupi. Alirusha tufe umbalia wa mita 8.40 na kuvunja rekodi ya dunia.
Baada ya mashindano kukamilika Onye anaanza kusherehekea
Mbwembwe za Onye akisherehekeaImage copyrightREUTERS
Image captionMbwembwe za Onye akisherehekea
Mbwembwe za Onye akisherehekeaImage copyrightPA
Image captionMbwembwe za Onye akisherehekea
Onye alisherehekea ushindi pamoja na wanariadha wengine akiwemo Rima Abdelli wa Tunisia ambaye alishinda fedha na Lara Baars wa uholanzi ambaye alishinda shaba.
Akisherehekea na Lara Baars wa uholanzi ambaye alishinda shabaImage copyrightREUTERS
Image captionAkisherehekea na Lara Baars wa uholanzi ambaye alishinda shaba
Akisherehekea na Rima Abdelli wa Tunisia ambaye alishinda fedhaImage copyrightPA
Image captionAkisherehekea na Rima Abdelli wa Tunisia ambaye alishinda fedha

No comments:

Post a Comment