Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akizungumza
wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Waandishi wa Miswada ya Filamu kwa baadhi ya
waandishi hao leo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kaimu Mwenyekiti wa Chama
cha Waandishi wa Miswada ya Filamu Tanzania (TASA) Haji Jumbe.
Mwandishi wa Script kutoka Marekani Bi. Emma Rosenbaum akifafanua jambo wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Uandishi wa Miswada ya Filamu kwa baadhi ya waandishi hao leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo na Mwanafunzi wa Utengenezaji wa Filamu kutoka Los Angels Marekani Leo Masciarelli. Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Miswada ya Filamu Tanzania (TASA) Bw. Christian Kauzeni akisoma risala ya Chama hicho wakati wa hafla ya ufunguzi wa mafunzo ya Waandishi wa Miswada ya Filamu kwa baadhi ya waandishi hao leo Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo akipeana mkono na Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Miswada ya Filamu Tanzania (TASA) Cheristian Kauzeni mara baada ya kukabidhiwa fomu kwa ajili ya kujiunga na chama hicho leo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa Miswada ya Filamu wakifuatilia mafunzo ya Uandishi wa Miswada kutoka kwa Mwandishi Mtaalam kutoka Marekani leo Jijini Dra es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa Miswada ya Filamu wakifuatilia mafunzo ya Uandishi wa Miswada kutoka kwa Mwandishi Mtaalam kutoka Marekani leo Jijini Dra es Salaam.(Imetolewa na Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano, Bodi ya Filamu Tamnzania)
No comments:
Post a Comment