Jengo la Mahakama ya Mwanzo Kigamboni linalojengwa kwa kutumia Teknolojia ya Moladi, ambalo Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Ferdinand Wambali, amekwenda kutembelea, kukagua ujenzi wake.
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Mhe. Ferdinand Wambali akimsikiliza Mhandisi wa Mahakama ya Tanzania, Khamadu Kitunzi akimwonyesha Ramani ya jengo la Mahakama ya Mwanzo Kigamboni linaloendelea kujengwa jana jijini Dar es Salaam. Jengo hilo linajengwa kwa kutumia teknolojia ya Moladi.

No comments:
Post a Comment