Kamishna Msaidizi wa jeshi la polisi Tanzania,
Mkadam Khamis Mkadam, Kamanda wa Polisi mkoa wa mjini Magharibi, Unguja,akimkabidhi Bwana Nadim Ibrahim mkaazi wa Malindi zawadi kutoka Tigo katika maadhimisho ya Karume day, katika ofisi za Tigo Unguja, Zanzibar.
|
No comments:
Post a Comment