Pages

Friday, April 29, 2016

MSAJILI WA HAZINA ATOA UFAFANUZI UMILIKI WA HISA ZA SERIKALI SHIRIKA LA UDA

Msajili wa Hazina Bw. Laurence Mafuru akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu umiliki wa hisa za Serikali katika Shirika la Usafirishaji Dar es salaam (UDA) na kubainisha kuwa Serikali inamiliki hisa 49% katika shirika hilo kinyume na upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu kuwa Serikali imeuza hisa zote kwa muwekezaji. Kulia ni Afisa Habari wa Ofisi ya Msajili wa Hazina Bw. Gerald Chami. (Picha zote na Idara ya Habari, Maelezo)
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Ofisi ya Msajili wa Hazina Gerald Chami akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam wakati wa mkutano wa Ofisi ya Msajili wa Hazina na vyombo vya habari.kushoto ni Msajili wa Hazina Bw. Laurence Mafuru.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano wa Msajili wa Hazina leo jijini Dar es salaam uliolenga kutoa ufafanuzi kuhusu faida za Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika kuongeza uwajibikaji na tija kwenye utumishi wa umma hasa kwa kuzingatia mapendekezo ya ripoti  ya mwaka 2014/2015.

No comments:

Post a Comment