Mwenyekiti wa kamati ya maadalizi ya mkutano wa Maspika wa Afrika Mashariki Dkt. Thomas Kashilila (kushoto) akiongoza kikao hicho leo jijnii Arusha. Kulia ni Katibu wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Bw. Keneth Madete.
Makatibu wa Mabunge ya Afrika Mashariki na Baadhi ya Maofisa wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa kikao cha maandalizi ya mkutano wa Maspika wa Afrika Mashariki leo jijini Arusha.
Mwenyekiti wa kikao cha Makatibu wa Mabunge wa Afrika Mashariki Dkt. Thomas Kashilila (kulia) akiwa na baadhi ya Makatibu wa Mabunge ya Afrika Mashariki wakiwa Jijini Arusha. Kushoto ni Katibu wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Bw. Keneth Madete na katikati ni Katibu wa Bunge la Kenya Bw. Justine Bundi.
Makatibu wa Mabunge ya Afrika Mashariki wakitoka ukumbini baada ya ufunguzi wa kikao cha maandalizi ya mkutano wa Maspika wa Afrika Mashariki leo jijini Arusha.
Mkurugenzi
wa Uhusiano wa Kimataifa na Itifaki wa Bunge la Tanzania Jossey Mwakasyuka
(kushoto) akiwa na Msaidizi wa Katibu wa Bunge la Tanzania ndugu Emmanuel
Mpanda.






No comments:
Post a Comment