Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akitoa taarifa kuhusiana
na dhima ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong
Tan Sang nchini Tanzania na manufaa yake kwa pande zote mbili, leo 11 Machi,
2016 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari na Mawasiliano wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya
Vietnam, Mhe. Nguyen Bal Son akieleza makubaliano waliyofikia ya ushirikiano
baina ya Tanzania na Vietnam ikiwa ni sehemu ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya
Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang nchini Tanzania na manufaa yake
kwa pande zote mbili, leo 11 Machi, 2016 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere
Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Wizara toka pande mbili za
Tanzania na Vietnam pamoja na Waandishi wa Habari waliohudhuria mkutano huo wakifuatilia
mazungumzo kati ya Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Waziri wa Habari na
Mawasiliano wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Nguyen Bal Son leo 11
Machi, 2016 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.

mazungumzo kati ya Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Waziri wa Habari na
Mawasiliano wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Nguyen Bal Son leo 11
Machi, 2016 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Benedict Liwenga-Maelezo)

No comments:
Post a Comment