Waziri Mkuu Mstaafu na aliekuwa mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) Mh. Edward Lowassa, akifanya
mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa
Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati alipokwenda
kumjulia hali katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo Machi 11,
2015.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha
Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa
habari (hawapo pichani) juu ya hali ya afya yake.
Waziri Mkuu Mstaafu na aliekuwa mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) Mh. Edward Lowassa,, akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif
Hamad, mara bade ya kumjulia hali katika Hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam leo Machi 11, 2015.





No comments:
Post a Comment