Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bi. Susan Mlawi
(kushoto) akifungua kikao kazi kwa njia ya video kilichohusisha Ofisi ya
Rais-Utumishi,Wizara ya Fedha na Mipango,Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto, Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), pamoja na ofisi
za Sekretarieti za mikoa ya Shinyanga, Singida, Mwanza, Tanga,
Simiyu, Lindi kilichofanyika mapema leo. (Picha zote na Happy Shayo-Utumishi).
Baadhi ya Watendaji na Watumishi wa Ofisi ya
Rais-Utumishi wakifuatilia mada wakati wa kikao kazi kwa njia ya video
kilichohusisha Ofisi ya Rais- Utumishi, Wizara ya Fedha na Mipango,Wizara
ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao
(TaGLA), pamoja na ofisi za Sekretarieti za mikoa ya Shinyanga, Singida,
Mwanza, Tanga, Simiyu, Lindi kilichofanyika mapema leo.
Katibu Tawala
wa Mkoa wa Shinyanga Bw.Abdul Dachi (picha kubwa kushoto)
akiwatambulisha watumishi wa mkoa wake walioshiriki kikao kazi kwa njia
ya video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi, Wizara ya Fedha na
Mipango,Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wakala ya Mafunzo kwa Njia
ya Mtandao (TaGLA), pamoja na ofisi za Sekretarieti za mikoa ya
Shinyanga, Singida, Mwanza, Tanga, Simiyu, Lindi kilichofanyika mapema
leo.
Mkurugenzi
wa Idara ya Mikataba ya Utendaji Kazi Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Hassan
Kitenge (picha kubwa kushoto) akiwasilisha mada wakati wa kikao kazi
kwa njia ya video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi, Wizara ya Fedha
na Mipango, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Wizara ya
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Wakala ya Mafunzo kwa
Njia ya Mtandao (TaGLA), pamoja na Ofisi za Sekretarieti za mikoa ya
Shinyanga, Singida, Mwanza, Tanga, Simiyu, Lindi kilichofanyika mapema
leo.

No comments:
Post a Comment