Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi, Dkt. Laurean J. Ndumbaro (kushoto) akizungumza na watumishi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu-Utumishi (hawapo pichani) wakati wa kikao chake na Idara hiyo mapema leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara hiyo Bw. Aloyce Msigwa.
Mshauri Mwelekezi wa masuala ya ununuzi Ofisi ya Rais – Utumishi Bw. Jones Mapunda (kulia) akisoma moja ya zabuni wakati wa ufunguzi wa zabuni ya Mfumo wa Ununuzi kwa Njia ya Kielektroniki Tanzania mapema leo.
Mshauri Mwelekezi wa masuala ya ununuzi Ofisi ya Rais – Utumishi Bw. Jones Mapunda (kulia) akifafanua jambo wakati wa ufunguzi wa zabuni ya Mfumo wa Utoaji Tiba kwa Njia ya Kielektroniki mapema leo.

No comments:
Post a Comment