Mweka Hazina wa Umoja wa Mabunge wanachama wa
Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Mhe. Request Muntanga (Zambia) akiongoza
kikao cha Bajeti cha Umoja huo kilichokutana leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni
Katibu wa Bunge la Tanzania Dkt. Thomas Kashililah ambae pia ni Katibu wa Umoja
huo Afrika.
Mweka Hazina wa Umoja wa Mabunge wanachama wa
Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Mhe. Request Muntanga (Zambia) akipitia
Jarida la Umoja huo wakati wa kikao cha Bajeti cha Umoja huo kilichokutana leo
Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge wanachama wa
Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika ambaye pia ni Katibu wa Bunge la Tanzania
Dkt. Thomas Kashililah akijadili jambo na msaidizi wake Ndg. Demitrius Mgalami
wakati wa kikao cha Bajeti cha Umoja huo kilichokutana leo Jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment