TANGAZO

Saturday, December 5, 2015

Semina ya waandishi wa habari kuhusu magonjwa yasiyopewa kipaumbele

Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika semina hiyo. 
Mkurugenzi wa Idara ya  Kinga kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Neema Rusibamayila akifungua semina kwa waandishi wa habari kuhusu magonjwa yasiyopewa kiupaumbele iliyofanyika  hivi karibuni  kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jijini  Dare Salaam.  

Mratibu wa Kitaifa wa magonjwa yasiyopewa kipaumbele, Dkt. Upendo Mwingira akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jana kuhusu magonjwa yasiyopewa kiupaumbele katika semina iliyofanyika hivi karibuni  kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jijini  Dare Salaam. 
Mwezeshaji wa Semina hiyo Andreas Nshala ambaye ni Afisa Mipango akitoa elimu juu ya magonjwa yasiyopewa kipaumbele jana wakati semina kwa waandishi wa habari kuhusu magonjwa yasiyopewa kiupaumbele iliyofanyika hivi karibuni  kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jijini  Dare Salaam.(Picha zote na Magreth Kinabo – maelezo)

No comments:

Post a Comment